Mara yako ya kwanza?

Karibu sana!! Hapo chini utapata maelezo ya jinsi ya kutumia Zoom kuhudhuria mafunzo ya RLabs mtandaoni na jinsi ya kujisajili kwenye vipindi.  Bonyeza hapo chini kusajili kwenye vipindi vinavyokuvutia. 

You are very welcome! Below you can find more information on how to use Zoom to attend RLabs training online and how to register for sessions.

 
English Conversation: weekly meeting
Tue, May 26
Zoom
May 26, 9:00 AM – 10:00 AM
Zoom
Practise your English speaking skills in a fun and interactive group session.
RLabs Community Get Together
Fri, May 22
Zoom
May 22, 4:00 PM – 5:00 PM
Zoom
Fursa ya kufahamiana na kustarehe kama familia ya RLabs. Michezo, mazungumzo na mawazo mapya
GLA 15: Pangilia baishara yako
Fri, May 22
Zoom
May 22, 3:00 PM – 4:30 PM
Zoom
Somo hili litakuwezesha kujua namna ya kupangilia biashara yako katika mtindo ambao utakuletea matokeo mazuri na faida kubwa. Misingi tisa ndani ya somo hili itaisimamisha biashara yako katika uimara wake.
GLA 14: Ubunifu ndo habari ya mjini
Wed, May 20
Zoom
May 20, 3:00 PM – 4:30 PM
Zoom
UBUNIFU mwanzo mwisho! Somo hili linakupa nafasi ya kuutumia ubongo wako sana, lengo ni kuhakikisha hakuna fursa inayokupita kisa umeshindwa kuwafikia wateja wako. Akili yako inaweza kubadilika kuendana na mazingira na wakati katika kubuni namna rafiki ya kukufanya ung'are kibiashara.
English Conversation: weekly meeting
Tue, May 19
Zoom
May 19, 9:00 AM – 10:00 AM
Zoom
Practise your English speaking skills in a fun and interactive group session.
GLA 13: Tambua mbinu ya kutangaza wazo lako upate mkwanja
Mon, May 18
Zoom
May 18, 3:00 PM – 4:30 PM
Zoom
Utaweza kujua namna nzuri ya kuuza wazo lako kwa maneno machache muhimu, yenye kuvutia, kuaminika yenye ushawishi na kueleweka.
RLabs Community Get Together
Fri, May 15
Zoom
May 15, 4:00 PM – 5:00 PM
Zoom
Fursa ya kufahamiana na kustarehe kama familia ya RLabs. Michezo, mazungumzo na mawazo mapya
GLA 12: Fikiri nje ya boksi
Fri, May 15
Zoom
May 15, 3:00 PM – 4:30 PM
Zoom
Ni zoezi linalokuwezesha kufikiri zaidi ya unavyofikiri kuhusu fursa zinazokuzunguka na kukutoa kwenye hali ya mazoea inayodhoofisha uwezo wako wa ubunifu.
RLabs Support Corner: Mkutano wa kila wiki
Thu, May 14
Zoom
May 14, 3:00 PM – 4:00 PM
Zoom
Ushauri nasihi kwa anayehitaji kuacha uraibu (addiction) katika tabia mbalimbali
GLA 11: Namna ya kuanzisha na kuendeleza biashara yenye matokeo makubwa
Wed, May 13
Zoom
May 13, 3:00 PM – 4:30 PM
Zoom
Kuanzisha biashara ni hatua moja ila kuiendeleza ni hatua nyingine muhimu. Ni matumaini yetu utajifunza namna ya kuiendeleza biashara yako kwa kuzingatia mahitaji ya wateja wako kwa msingi wa tamaduni zao, historia na maoni yao na sio mahitaji yako wewe.
Unatunzaje uaminifu katika biashara yako?
Tue, May 12
Zoom
May 12, 4:00 PM – 5:00 PM
Zoom
Je unajua kwamba uaminifu ni uti wa mgongo wa biashara yako?

SUBSCRIBE

Pata habari za RLabs kwa njia ya email.

Want to know more about the programme and receive regular updates? Fill out this short form.

0657 893 866

  • Instagram
  • Facebook
  • Twitter

©2020 by RLabs Tanzania. Proudly created with Wix.com