Utambulisho wa Mary
Naitwa Mary. Vitu ninavyovifahamu lakini bado sijatekeleza ni utunzi wa simulizi, uuguzi, ninavyoweza kutekeleza ni useremala, uuguzi, uchoraji, utunzi wa simulizi, napenda kuandaa katuni na kupika.
Watu muhimu wa kunifanikisha ni familia yangu, Rlabs, Lameck.
.jpeg)