Unafikiri ni kosa kuomba stroki pale unapohitaji zaidi?

Si kosa kuomba kupokea zaidi, unaweza kujisikia vizuri sana ukipokea zaidi
kwa mfano; Nikifanya kazi kubwa sana- itakuwa poa sana nikijua unasemaje juu ya kazi yangu.

0657 893 866

  • Instagram
  • Facebook
  • Twitter

©2020 by RLabs Tanzania. Proudly created with Wix.com