Umuhimu wa kuwa na matumizi mazuri ya pesa
Mi pia nilikuwa siweki akiba, nilikuwa sijali kabisa.
Sasa hivi nimejua kuwa kuna umuhimu wa kuwa na matumizi mazuri ya pesa.
Kweli na mimi nimekuwa makini sana wa kutumia pesa zangu, yaani nahesabu kila shilingi.
.jpeg)