Ulishawahi kuweka akiba?
Hata mimi nikapata shilingi 5000 baada ya dakika 2 imeshaisha, sijui pesa zangu zilikuwa zinaenda wapi. Hivi ulikuwa unaweka akiba?
Sijawahi kuweka akiba kabisa, hivi unafahamu kauli ya tumia pesa ikuzoe? Ndio nilikuwa nafanya hivyo.
.jpeg)