Ugonjwa unaomsumbua mama yangu
Huwa nasikia yupo Iringa mjini anaendelea na maisha yake (Machozi yanamlengalenga).
Maisha yetu kule Mafinga ni magumu sana, kwa sababu mama yangu kwa muda mrefu amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kupooza, hivyo hawezi kufanya kazi.
.jpeg)