Mifumo ya pesa

Hapa tunaongelea mfumo wa kusimamia pesa.

Mfano - mwingine mara akipata pesa ananunua vitu anavyohitaji leo. Mwingine akipata pesa anapanga matumizi yake ya baadaye.

Si lazima kuwa na mfumo mmoja maalumu.

0657 893 866

  • Instagram
  • Facebook
  • Twitter

©2020 by RLabs Tanzania. Proudly created with Wix.com