Maneno ya kejeli kutoka kwa baba
Nilipokwenda Iringa mjini kumtafuta baba ili nimweleze hali ya mama na ndugu zangu japo atusaidie, baba alinijibu kuwa hata panya wana baba lakini wanapambana wenyewe.
Nililia sana aliponiambia asije akaiona sura yangu tena.
