Maelezo kuhusu safari ya maisha

Kwa jina naitwa Aisha Shabani, natokea Mafinga mkoani Iringa.

Mimi ni mtoto wa pili katika familia yetu iliyokuwa na watoto watano.

Tangu nimezaliwa mwaka 2000 mpaka leo hii sijawahi kumuona baba yangu mzazi.

0657 893 866

  • Instagram
  • Facebook
  • Twitter

©2020 by RLabs Tanzania. Proudly created with Wix.com