Kauli ya mama inaniumiza sana
Kinachoniumiza zaidi ni kwamba kila ninachojaribu kufanya hakifanikiwi, na mimi ndiyo baba na mama katika familia yetu.
Mama anaumwa sana na ameniambia nimuache tu afe kama baba amekataa kutusaidia - kauli yake inaniumiza sanasana.
.jpeg)