Kabla ya kusoma Grow, Paul anasema alipiga mbonji hadi saa 4 asubuhi!

Alipoamka alikwenda kuzurura mitaani na kugombana na watu. Wazazi walimwona hovyo kabisa.

Alivutiwa kuja RLabs na alipata wazo la kuanzisha huduma za kusomba takataka majumbani.

Mwanzoni ilikuwa ngumu, yeye na marafiki zake walipata kama 12,000/= kwa wiki kugawa kwa watu 10!
Muone alivyokuwa enzi hizo.

0657 893 866

  • Instagram
  • Facebook
  • Twitter

©2020 by RLabs Tanzania. Proudly created with Wix.com