Dondoo kuhusu matumizi ya pesa!
Ishi ndani ya uwezo wako, usijaribu kuspendi zaidi ya kipato chako inaweza kukuletea matatizo.
Kama hauna hela ya kutosha kwaajili ya kulipia matumizi yako yote basi angalia ni vitu vipi vya muhimu.