Stroki ni nini? (stroke - kwa Kiingereza)

Ni msamiati wa kisaikolojia unaotafsiri jambo rahisi unalolifanya kila siku.

Ukisema kauli hasi au chanya kwa mtu hiyo ni "stroki".

Stroki chanya ni kauli ya pongezi anayoambiwa mtu mfano "Hongera umefanya kazi nzuri!", "upo vizuri!"

0657 893 866

  • Instagram
  • Facebook
  • Twitter

©2020 by RLabs Tanzania. Proudly created with Wix.com