JIENDELEZE NA RLABS

Develop yourself with RLabs

Grow%20session_edited.jpg

GROW LEADERSHIP ACADEMY (GLA)

DSC_0340.JPG

PROFESSIONAL SKILLS

mbutu_edited_edited.jpg

COMMUNITY

Tambua vipaji, na jifunze jinsi ya kugeuza changamoto za jamii kuwa fursa za biashara.

Discover your talents and learn how to turn community challenges into business opportunities. 

Kuza uwezo wako katika kompyuta, Kiingereza, na stadi nyingine za kazi.

Develop your ability in computing, English and other work skills. 

Shiriki katika jamii ya RLabs, kutana na wajasiriamali, pata mawazo mapya na changia ya kwako.

Participate in the RLabs community to meet entrepreneurs, get new ideas and contribute your own. 

Grow Leadership Academy

Pata mtazamo mpya wa dunia. Tambua vipaji vyako na kuza uwezo wako kufikiri kijasiriamali kugeuza changamoto kuwa fursa. 

Explore a new world view. Discover your talents, and develop an entrepreneurial mindset to turn challenges into opportunities. 

Professional Skills

Tunajua unataka kujiendeleza katika maeneo mengi. Karibu sana - tunakuletea vipindi vingi kukuendeleza katika kompyuta, mitandao ya kijamii, na stadi nyingine za biashara na kazi. 

We know you want to develop in lots of areas. Karibu sana - we are planning to bring you lots of videos to develop you in computer skills, social media and other skills for business and work. 

Wajasiriamali

Tunafurahi sana tunavyoona mafanikio ya washiriki wa mafunzo ya RLabs. 

Hear from RLabs graduates about what they have learnt and applied in their businesses. 

SAJILI

Kupata email kuhusu vipindi vya mafunzo sajili hapa chini.

To get emails about training sessions, please register below.

0657 893 866

  • Instagram
  • Facebook
  • Twitter

©2020 by RLabs Tanzania. Proudly created with Wix.com