Uncle Moses

Naam umefanya jambo la maana kuhudhuria kipindi hiki!

Hongera sana, kwa kuwa tayari kupanua mtazamo wako. Ni hatua muhimu katika kufanikiwa kama mjasiriamali.

Tunaamini kwamba kama ulikuwa na mtazamo wa kutokufanikiwa sasa umeanza kupata tumaini jipya. Endelea kufuatilia vipindi vyetu vingine, sisi tupo kwa ajili yako!

Jipatie Zlto zako sasa!!

0657 893 866

  • Instagram
  • Facebook
  • Twitter

©2020 by RLabs Tanzania. Proudly created with Wix.com