Ni kweli Bundi ana sifa nyingi

animal-1845060_1920.jpg

Bundi ni walinzi mashambani. Familia ya bundi aina ya 'barn owl' wanaweza kula panya 1000 kwa msimu mmoja. Hadi wakulima kwenye tamaduni zingine wanatumia mbinu nyingi za kuwavutia mashambani mwao badala ya kutumia dawa.

Image by Pexels from Pixabay )

Subtitle

0657 893 866

  • Instagram
  • Facebook
  • Twitter

©2020 by RLabs Tanzania. Proudly created with Wix.com