KARIBU RLABS!!!

Hongera kwa kuja!

Umefanya chaguo muhimu maishani mwako! Kupitia RLabs unaweza kujitegemea kiuchumi na kufikia malengo yako ya kimaisha. Pia utaweza kuleta mchango mkubwa na kuheshimika katika jamii yako.

 

Grow Leadership

Anzisha biashara yenye tija! Jifunze kuanza na shauku na rasilimali zinazokuzunguka na kutambua fursa mpya.

Hudhuria mafunzo Iringa au Kigamboni, Dar es Salaam.

Zlto

Zlto ni mfumo wa kidigitali wa kutoa zawadi.
Jitolee kufanya kazi za kusaidia jamii yako.
Jenga uzoefu wa kazi (CV) kwa kujitolea.
Pata tuzo za Zlto.
Nunua  bidhaa / huduma kwa kutumia pointi zako.
Jiunge kwa kutumia simu au kompyuta.

Jiendeleze mtandaoni

Jiongeze kijanja zaidi kupitia simu kiganjani mwako. Mafunzo yetu matamu yaliyopatikana Iringa tu sasa yatakufikia popote ulipo. Tambua uwezo wako na fursa zinazokuzunguka. Jiifunze kuzigeuza kuwa biashara inayolipa!

Ungana na wajasiriamali wenzako mtandaoni

Shiriki kijiweni kwetu kufahamiana, kupiga mastori na mijadala

0657 893 866

  • Instagram
  • Facebook
  • Twitter

©2020 by RLabs Tanzania. Proudly created with Wix.com