
GROW LEADERSHIP

Mafunzo yenye tija
Vijana wengi wamefikia ndoto zao kupitia mafunzo ya Grow Leadership. Wameanzisha biashara kwenye sekta nyingi - kilimo, teknolojia, chakula, usafi, urembo, ufugaji na mengine mengi. Wengi wamenunua ardhi na kujenga nyumba.
Tunatamani wewe uwe mojawao!
Mafunzo
Wiki ya kwanza utatambua uwezo wako na vipaji ulivyonavyo.
Wiki ya pili utaanza kuchunguza fursa zilizopo kwenye jamii yako,
Wiki ya tatu utaanzisha na kuendeleza wazo lako la biashara na kuongeza ujuzi wa kibiashara.


Mafunzo ya Ufundi
Baada ya kumaliza "darasani" kuna fursa nyingi kujiongezea katika fani yako:
Kompyuta
Graphic Design
Ubunifu katika ufundi mbao
Ushonaji
Mapishi
Kilimo
Wahi nafasi yako!
Mafunzo yataanza tarehe 27 Julai. Ukishasajili utajulishwa zaidi kwa njia ya email na SMS.


Vituo vya mafunzo
IRINGA
RLabs Wilolesi
Mtwivila, Mkimbizi
Ipogolo, Isakalilo, Mkwawa, Ugele, Ikungwe
KIGAMBONI
Mbutu Mkwajuni
Kichangani
Dege
Geza Ulole